1.Mwanza expertNaomba kusaidiwa wana JF kwa wanaokaaa mkoa wa Mwanza elimu ya QT hutolewa mahala gani na vituo vipi?
Makene education center kiko mwanza sehem gan1.Mwanza expert
2.mweac
3.makene education center
4.kingine sikijui jina ila kipo opposite na nyanza primary
(Ukiwa unatoka upande wa kuleana ...mkono wa kushoto kuna show room ya magari... Mbele yake red Cross then kuna chuo,baada ya apo io Center ya Qt ndo unafikia