f de solver
JF-Expert Member
- Feb 12, 2017
- 2,339
- 1,834
Na kwa upande wa physics je?gugo mathtype utapata software ambatanishi kwenye word utakua unapeta tu.
Jaribu ku google pia.Na kwa upande wa physics je?
kule yapo mengi tu mpk AutoCad inategemea na wewe Ila kwa urahisi gugo tu itakuletea zoteNa kwa upande wa physics je?
tumia illustrator tu easyNa kwa upande wa physics je?
Mfano circuit yenye resistors zaidi ya mojaHata ms word unaweza, sijajua hio michoro ni migumu kiasi gani.
Ungeeka mfano Ingekuwa Bomba zaidi.
Hii ni application au?tumia illustrator tu easy
Software ya computer unaweza kuchora chochote unachotakaHii ni application au?
Naipataje sasa hii mkuuSoftware ya computer unaweza kuchora chochote unachotaka
Circuits ina software zake mahususi.Wakuu habari bila shaka mu wazima.
Wakuu naomba kujuzwa nawezaje kuchora michoro mizuri hasa ya physics na mathematics kwa muda nao andaa mtihani
Huwa naona muonekano wa michoro ya kwenye mitihani ya taifa ina muonekano mzuri sana
Je, wanatumia nini?
Ni application au ni nini?
Natamani sana niwe competent kwenye hicho kitu
Kuna wengne walinishauri nitumie PAINT haswa navo type kazi yangu katika ms word japo nashindwa kuna michoro ni complicated mfano unachora mchoro wa circuit yenye several resistors.
Pia kuna baadhi ya michoro niliweza kuchora kwenye hiyo PAINT shida ikaja kuitoa huko kuleta kwenye ms word napo type kazi yangu.
Naombeni msaada wenu shida yangu niweze kuchora vizuri hii michoro ili kazi yangu iwe perfect kwa kiasi chake.