Samahani mkuu ningeomba kujua kuhusu mishahara yao na taasisi ambazo zina maslahi mazuriUngeomba Kazi Tu
Maana Kwasasa Ajira Tele
Omba kazi kwanzaSamahani wana JF nilikuwa naomba kwa wanaofahamu kuhusu mishahara wanaolipwa wahandisi wa umeme (Electrical engineers) kwa graduate wa kuanzia diploma, degree na masters pamoja na careers wanazoweza zifanya.
Asanteni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijajua serikalini wanalipaje...................but kwenye makampuni binafsi ni itategemea na wewe utakavojiuza, tunaofanya kazi sector binafsi nadhani tunaelewa.
Kujiuza kivipi mkuu??Sijajua serikalini wanalipaje...................but kwenye makampuni binafsi ni itategemea na wewe utakavojiuza, tunaofanya kazi sector binafsi nadhani tunaelewa.
Kwani kuna ubaya wowote mkuuWaulize watu wanaofanya kazi Temesa, Tanesco n.k. Najua lkn siweki humu.
Asante mkuu kwa ushirikianodronedrake
Labda huyu anaweza kukusaidia
jibu inategemea ulipoSamahani wana JF nilikuwa naomba kwa wanaofahamu kuhusu mishahara wanaolipwa wahandisi wa umeme (Electrical engineers) kwa graduate wa kuanzia diploma, degree na masters pamoja na careers wanazoweza zifanya.
Asanteni.
Sent using Jamii Forums mobile app
jibu zuri kabisa TEMESA technician wanaanza na 640k na engineer 860k, Tanesco Technician 1m+ na engineer 1.5+m, Tanroad wako juu kidogo, TPDC na TCRA ndio usiseme kabisa WAKO JUU MNO kimslahi , NEC electrical techincian 1.2M, engineer 1.6m Huko uwanja wa taifa ndo majanga kabisa njaa kama yote kwa engineer na technician wa umemejibu inategemea ulipo
engineer/technician (electrical au mechanical) wa TPDC hawezilipwa sawa na yule wa TANESCO, hawezilipwa sawa na yule wa TAMESA, hawezilipwa sawa na yule wa makampuni ya ukandarasi binafsi, hawezilipwa sawa na yule wa viwanda vya:
1. wahindi nuksi kabisa
2.wahindi wa kati ( kama Alaf )
Daaaah asante brojibu inategemea ulipo
engineer/technician (electrical au mechanical) wa TPDC hawezilipwa sawa na yule wa TANESCO, hawezilipwa sawa na yule wa TAMESA, hawezilipwa sawa na yule wa makampuni ya ukandarasi binafsi, hawezilipwa sawa na yule wa viwanda vya:
1. wahindi nuksi kabisa
2.wahindi wa kati ( kama Alaf )
Anhaaa asante Sana mkuu na ili uwe technician manake uwe ni graduate wa diploma ??jibu zuri kabisa TEMESA technician wanaanza na 640k na engineer 860k, Tanesco Technician 1m+ na engineer 1.5+m, Tanroad wako juu kidogo, TPDC na TCRA ndio usiseme kabisa WAKO JUU MNO kimslahi , NEC electrical techincian 1.2M, engineer 1.6m Huko uwanja wa taifa ndo majanga kabisa njaa kama yote kwa engineer na technician wa umeme
Mshahara unategemeana na taasisi uliyopo japo kuna taasisi zinalipa kidogo au juu ya hizo nilizotaja
Unamaanisha nn mzee kwamba haina deal auDaah sio poa, 1.2m ni profit yangu ya mwezi katika business zangu, na hiyo ni minimum tu.
Sent from my iPhone using JamiiForums