Naomba kujuzwa makumbusho ya taifa ilipo

Naomba kujuzwa makumbusho ya taifa ilipo

ISIMBA

Senior Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
144
Reaction score
30
Habari za mida wakubwa, nataka niende makumbusho ya taifa ila sipafahamu. Kuna mtu ameniambia iko Mwenge pale Makumbusho, mwingine kasema iko Posta, sasa wananichanganya nashindwa kujua wapi ni wapi. Pliz kwa unayefahamu naomba uniambie ni wapi na unipe direction.
 
Habari za mida wakubwa, nataka niende makumbusho ya taifa ila sipafahamu. Kuna mtu ameniambia iko mwenge pale makumbusho, mwingine kasema iko posta, sasa wananichanganya nashindwa kujua wapi ni wapi. Pliz kwa unayefahamu naomba uniambie ni wapi na unipe direction...

WE UNATOKEA WAPI?KAMA UNATOKEA MJINI KARIAKO,PANDA LA MWENGE.KITUO KINAITWA MAKUMBUSHO. zingatia kuwa makumbusho zipo mbili, posta lipo jengo la makumbusho na mwenge lipo eneo kubwa panaitwa makumbusho. sasa muulize ni makumbusho ya wapi? ya mwenge au ya posta?
 
Makumbusho ya Taifa ipo moja tu...panda gari mpaka posta, ukifika hapo uliza chuo cha IFM kilipo...makumbusho ya Taifa ipo opposite na IFM
 
Nashukuru wakubwa, ila vp kuhusu mwenge makumbusho, kwa nini kunaitwa makumbusho?
 
Nashukuru wakubwa, ila vp kuhusu mwenge makumbusho, kwa nini kunaitwa makumbusho?
pale mwenge sijui kijitonyama kile ni kijiji cha makumbusho,na hiyo ya posta opposite IFM ndio makumbusho ya taifa ,umekuja kula xmas nini unataka ukawaadithie ukirudi mkoa safi sana utalii wa ndani
 
WE UNATOKEA WAPI?KAMA UNATOKEA MJINI KARIAKO,PANDA LA MWENGE.KITUO KINAITWA MAKUMBUSHO. zingatia kuwa makumbusho zipo mbili, posta lipo jengo la makumbusho na mwenge lipo eneo kubwa panaitwa makumbusho. sasa muulize ni makumbusho ya wapi? ya mwenge au ya posta?
Mkuu Makumbusho ni vijiji vya Makumbusho, sio Makumbusho ya Taifa. Makumbusho ya taifa yapo Maeneo ya Posta Mjini kati. Ukifika kituo cha mabasi cha Posta ulizia IFM ukifika IFM huna haja ya kuuliza tena sababu Makumbusho yanaonekana jirani na IFM.
 
Me hapa kitambo mdukuz, sema vi2 kama hvo ni muhimu kuvijua...
 
And what is so special with kijiji cha makumbusho?
 
Makumbusho ya mwenge ile imewekwa maalum kwaajili ya watu wanaosahau, ukifika pale tuu lazima ukumbuke kila kitu!!
 
And what is so special with kijiji cha makumbusho?

Kijiji cha Makumbusho ni sehemu iliyotengwa maalumu kwa ajili ya kuhifadhi kumbukumbu ya nyumba za Asili. Pale kuna nyumba mbalimbali za kila Kabila Tanzania.

Siku hizi tunaend na wakati hivyo tunajenga nyumba za Tofali, hivyo serikali enzi hizo iliona ni muhimu kuweka kumbukumbu ili kizazi kijacho waweze kujua hata wanaposoma Darasani waelewe.

Ile nisehemu ambayo inatumika kwa ajili ya Utalii, wageni (wazungu) huwa wanaenda Kijiji cha Makumbusho na kupewa maelezo ya kila nyumba na historia ya makabila husika.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Back
Top Bottom