Naomba kujuzwa kuhusu msumbiji..

Chuck j

JF-Expert Member
Jun 17, 2011
2,358
815
Nina milioni mbili,je inatosha kibiashara? Biashara gani inalipa?je mafuta ya kupaka yanahitajika huko? Tupeleke nini na miji ipi inafaa kibiashara?
 
kaka, sio umi kosea hiyo thread ?
Am not sure, maybe mods can help !

anyway,
as per what i heard..Mzumbiji kodi za fremu ni juu.. sio kama kwetu... na cost of living ipo juu as their currency is high i think..
Pemba nime sikia watu wengi wame funguwa biashara, mii pia natafuta any opportunities :)
 
Back
Top Bottom