Naomba kujuzwa kuhusu hili:

Naomba kujuzwa kuhusu hili:

04sabrah05

Member
Joined
Aug 9, 2016
Posts
20
Reaction score
15
Habari zenu wakuu.
Nlikua napenda kujua kuhusu kama mtu aliesoma accounts hua anachukua CPA je kwa mtu aliesoma business administration hua anachukua nini au ndo anabaki na degree yake au diploma hivo hivo?
 
Ninasikia wanachukua MBA (Masters in Business Administration). Inategemea na chuo ulichosomea lakini ni course iliyojikamilisha.
 
CPA anachukua mtu yeyote anayeiweza.... Alimradi uwe na background ya Accounts or Economics or Finance yani usiwe labda Engineer itakua unaingia cha kike..
 
CPA anachukua mtu yeyote anayeiweza.... Alimradi uwe na background ya Accounts or Economics or Finance yani usiwe labda Engineer itakua unaingia cha kike..
Ina maana hata mwene business administration anaweza kuchukua??
Na akishapata anaendelea na kazi zake au ndo anafanya kazi za uhasibu?
 
Back
Top Bottom