Naomba kujuzwa kuhusu car mileage

Niccolo Machiavelli

JF-Expert Member
Feb 7, 2017
1,881
3,644
Wenzangu naomba kujuzwa kuhusu mileage ya gari. Naona mara 50,000 huku kwingine 100000.

Sielewi aisee! Wale wataalam msaada
 
Pole Sana, kwenye gari Kuna ODO kilomita, hizo ndio toka gari lianze kutembea, ambazo nadhani kwenye gari lako ndoto hiyo 100,000...

Lakini hapo hapo panakuaga na kipimo cha Trip A na Trip B... Yaani kwa mfano nataka nijue kutoka home kwangu mpaka sehemu flani Kuna umbali gani, so naset hii Trip..

Sasa hizi Trip A.. Na Trip B unaweza kuzifutaa just kwa kubonyeza na kuhold hako kakirungu kwenye dashboard karibu na hiyo mita..

So hiyo 100,000 Ni Odokm, na hiyo 50 Ni Trip Tu, unaweza kufuta hata sasa hivi hapo kama uko kwenye gari.
 
Back
Top Bottom