Darren2019
JF-Expert Member
- Nov 23, 2019
- 1,111
- 2,413
Habari, naomba kuelekezwa hospitali au kliniki nzuri ya macho ambayo ntaweza kufanyiwa check-up na kupatiwa miwani kwa Arusha au maeneo ya jirani.
Nimeona niulize kwa wadau kwanza maana macho hayahitaji longolongo ndg zangu.
Natanguliza shukrani.
Nimeona niulize kwa wadau kwanza maana macho hayahitaji longolongo ndg zangu.
Natanguliza shukrani.