profesawaaganojipya
JF-Expert Member
- Apr 21, 2015
- 1,485
- 3,134
1. Kama mtasafiri nonstop atleast muwe madereva wawili kupokezana.
2. Ila muipe gari nafasi ipumue ata kila baada ya kilometa 300 au kila baada ya kuendesha masaa 4.
3. Service ya oil, ATF, brake pads, coolant, tyres na taa muhimu.
4. Vibali viwe valid, triangle, fire extinguisher, spare tyres na spana za muhimu.
5. Cha mwisho tafuta music kwenye simu uinjoi na msishahau chaja. Huwezi jua.
naenda bush hiyo hela itasaidia mambo mengi sana 70,000/ kwa kijijini kubwa sana...Yalinishinda haya...
Ukiendesha maximum 90kmph huenda ukatumia average ya 15kmpl. Kwa safari ya 1000km utatumia lita67
Ukimwaga moto ukafaidi uumbaji wa mjapani utatumia say 10kmpl. Kwa safari hiyo hiyo utatumia lita100.
Tofauti ni lita 33. Around 70k TZS. Uko tayari uteseke for 1000km kwa ajili ya pesa hiyo?
ipumue kwa dakika ngapi mfano..1. Kama mtasafiri nonstop atleast muwe madereva wawili kupokezana.
2. Ila muipe gari nafasi ipumue ata kila baada ya kilometa 300 au kila baada ya kuendesha masaa 4.
3. Service ya oil, ATF, brake pads, coolant, tyres na taa muhimu.
4. Vibali viwe valid, triangle, fire extinguisher, spare tyres na spana za muhimu.
5. Cha mwisho tafuta music kwenye simu uinjoi na msishahau chaja. Huwezi jua.
Basi usizidishe spidi 100, na vile vile kanyaga kwa ustaarabu usichochee haraka kuongeza spidi.naenda bush hiyo hela itasaidia mambo mengi sana 70,000/ kwa kijijini kubwa sana...
Umesahau tairi zilizo hai,muhimu sana.1. Kama mtasafiri nonstop atleast muwe madereva wawili kupokezana.
2. Ila muipe gari nafasi ipumue ata kila baada ya kilometa 300 au kila baada ya kuendesha masaa 4.
3. Service ya oil, ATF, brake pads, coolant, tyres na taa muhimu.
4. Vibali viwe valid, triangle, fire extinguisher, spare tyres na spana za muhimu.
5. Cha mwisho tafuta music kwenye simu uinjoi na msishahau chaja. Huwezi jua.
Swali la msingi kiasi cha mafuta hujajibu!1. Kama mtasafiri nonstop atleast muwe madereva wawili kupokezana.
2. Ila muipe gari nafasi ipumue ata kila baada ya kilometa 300 au kila baada ya kuendesha masaa 4.
3. Service ya oil, ATF, brake pads, coolant, tyres na taa muhimu.
4. Vibali viwe valid, triangle, fire extinguisher, spare tyres na spana za muhimu.
5. Cha mwisho tafuta music kwenye simu uinjoi na msishahau chaja. Huwezi jua.
mark x ni cc ngapi mkuu?Mark x niliwahi tumia 170 ila kibati nilikuwa napeleka gari kasumulu pale
2500ccmark x ni cc ngapi mkuu?
Ipumzishwe kwanini? Kwani gari sio gari tena ila gugali?1. Kama mtasafiri nonstop atleast muwe madereva wawili kupokezana.
2. Ila muipe gari nafasi ipumue ata kila baada ya kilometa 300 au kila baada ya kuendesha masaa 4.
3. Service ya oil, ATF, brake pads, coolant, tyres na taa muhimu.
4. Vibali viwe valid, triangle, fire extinguisher, spare tyres na spana za muhimu.
5. Cha mwisho tafuta music kwenye simu uinjoi na msishahau chaja. Huwezi jua.
2500mark x ni cc ngapi mkuu?
Gari kupumua? Hamna kitu kama hicho.. Safari ya Kyela mm huwa naenda non stop labda muda wa kula nayo ni mara moja!ipumue kwa dakika ngapi mfano..
ni vizuri kwenda mwendo wa kawaida ukizingatia Noah ni gari ya kifamilia wanaosafiri huenda watakuwa wengi. Usalama muhimu zaidiYalinishinda haya...
Ukiendesha maximum 90kmph huenda ukatumia average ya 15kmpl. Kwa safari ya 1000km utatumia lita67
Ukimwaga moto ukafaidi uumbaji wa mjapani utatumia say 10kmpl. Kwa safari hiyo hiyo utatumia lita100.
Tofauti ni lita 33. Around 70k TZS. Uko tayari uteseke for 1000km kwa ajili ya pesa hiyo?
Gari nyingi za miaka ya nyuma maximum ni 1000km unaipumzisha kidogoGari ni machune haihitaji kupumzishwa As long as kila kitu kinaganya kazi Sawa. Unaweza Tembea hadi South afrika bila kupumzisha gari, ni wewe tu na gari lako.
gari yako ni aina gani@gwankajaGari kupumua? Hamna kitu kama hicho.. Safari ya Kyela mm huwa naenda non stop labda muda wa kula nayo ni mara moja!