Msaada: Safari ya Dar - Mbeya kwa Noah petrol kiasi gani?

ibanezafrica

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,261
6,543
Nataka kusafiri next month kwa kutumia usafiri binafsi gari aina ya Noah old model.

Kwa mwenye uzoefu snipe makadirio ya mafuta kiasi gani nitatumia kutoka Dar es Salaam hadi Mbeya.

Please.
 
N
Nataka kusafiri next month kwa kutumia usafiri binafsi gari aina ya Noah old model.

Kwa mwenye uzoefu snipe makadirio ya mafuta kiasi gani nitatumia kutoka Dar es Salaam hadi Mbeya.

Please.

Nimefanya trip kama mbili za huko nimetumia 110 litres one way, wastani wa mwendo 80 - 100 Km/h

Nilijaza full tank (60 lts) Puma Kimara, kufika Iringa nikajaza tena yakanifikisha Mbeya na kubaki kidogo, siku ninarudi nikajaza litres 50 yakawa full tank kitu kinachoashiria kuwa yale niliyojaza Iringa yalitumika litres 50 na hayo yakanifikisha Aljazeera Ruaha Mbuyuni, nikajaza full tank nikafika nayo Dar yakabakia lita kdhaa.
 
Gari yako utatumia full Tanki mbili kwa uhakika ili uweze fika 100% Mbeya!
Usipokimbia saana kwa wastanu wa spidi isiyozidi 120 km|hour utatumia full tanki ya Kwanza dar to Iringa/Mafinga(Wastani) Na utajaza tena full tanki ingine utajaza,utafika nayo mbeya na kubaki ya misele ya siku mbili 3
 
Ya nn kujisumbua na maswala ya mafuta wakat ukichukua usafiri wa asil hapo unatumia masaa 2 tu kufika!

More safety n more luxurious!
 
Kwa mujibu wa Google Map yangu, Kutoka Dar mpaka huku Mbeya ni kilometers 817km,, So kwa gari dogo inaniambia unatumia masaa 14 na dakika 50 mpaka kufika huku... Sasa nadhani itakurahisishia kujua utatumia litres ngapi za wese kama unajua gari lako linakunywa litres ngapi kwa 1km..
 
kama gari lako linatumia lita 1 ya mafuta kwa kilometa 9 then calculate kama ikitembea kilimeta 817 itakunywa lita ngapi, hii ni siple calculation. au nikusaidia gawanya 817 Kms kwa 9 utakazo pata ndio idadi ya mafuta utakazo tumia ila sasa weka ziada kidogo. haya iko hivi 817 : 9= 90.7 approximately 91 Liters basi weka maximum 96 liters utaenda utafika kumbuka inaweza ikapungua endapo tutatembelea speed ambayo ni ......... malizia mwenyewe.
 
Driving habit matters, kama ni mtu wa kutaka gari ifike 120km/h kwa nusu dakika (hard driving) utatumia mafuta mengi ila kwa green drivers unaweza kutumia car consumption specs kuestablish kiwango cha mafuta.

Hivyo kiasi cha mafuta kitategemea na driving habit yako. Wastani wa 8km per litre is a fair estimate.
 
kama gari lako linatumia lita 1 ya mafuta kwa kilometa 9 then calculate kama ikitembea kilimeta 817 itakunywa lita ngapi, hii ni siple calculation. au nikusaidia gawanya 817 Kms kwa 9 utakazo pata ndio idadi ya mafuta utakazo tumia ila sasa weka ziada kidogo. haya iko hivi 817 : 9= 90.7 approximately 91 Liters basi weka maximum 96 liters utaenda utafika kumbuka inaweza ikapungua endapo tutatembelea speed ambayo ni ......... malizia mwenyewe.
Asante kwa ushauri mzuri
 
Kwa mujibu wa Google Map yangu, Kutoka Dar mpaka huku Mbeya ni kilometers 817km,, So kwa gari dogo inaniambia unatumia masaa 14 na dakika 50 mpaka kufika huku... Sasa nadhani itakurahisishia kujua utatumia litres ngapi za wese kama unajua gari lako linakunywa litres ngapi kwa 1km..
Thanks!
 
Back
Top Bottom