Naomba kujuzwa kazi ya hiki kidude kwenye gari ni ipi

Holly Star

JF-Expert Member
Aug 25, 2018
4,316
8,013
Wakuu habarini za kazi. Kuna hiki kidude huwa nakuona kwenye gari huwa sijui kazi yake, mwenye kufaham anijulishe.

20210307_185508.jpg
 
:DHukuifanya taxi bubu ukawa unaegesha karibu na Ubungo Tanesco Mkuu:D
Wala sikuishobokea sababu ilikuwa ni siri hata nyumban haikifika hadi nlipomaliza chuo. Nlimpa jamaa yangu akawa ananipa elf 10 kila siku. Actually sikuwa na mkopo nlikuwa nalipiwa na mshua kiasi ila nlikuwa na ufadhili wa world bank, familia ilichangia ada kama dola 1000 tu kila mwaka, na kama dola 700 hivi za matumizi
 
Back
Top Bottom