farujoni
Senior Member
- Dec 19, 2016
- 189
- 246
Headlights zako zitakua na uwezo wa kupanda juu au kushuka chini. ukikichezea huoni utofauti wa umbali ambao taa zinamulika?Naomba kuuliza hii button ina kazi gani kwenye gari!!??View attachment 1442697
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera kwa kumiliki European car!
si kweli, ISO M.CodD hapo juu ndio ameeleza kwa ufasahaKuongeza Mwanga kwenye Dashboard meters Mle ndani, Sina uhakika Sana gari gan kwani?
I'm on that good kush and alcohol
Inabadilisha shabaha ya taa zako kwenda juu na chini.
Ukipakia mzigo mzito kwenye gari, bila shaka upande wa nyuma unalala na upande wa mbele kunyanyuka. Jambo hilo linasababisha taa zako kupiga juu na hivyo kuumiza madereva wa magari unayopishana nayo.
Hivyo basi ukijaza mzigo/watu unatakiwa ushushe shabaha ya taa zako zipige chini kabisa kuzuia hilo, na wakati gari ikiwa haina mzigo uzilengeshe juu kwa uono mzuri.
Kwasababu kule kubinuka hakupo tena,hapo mwishoni umesema wakati gari haina mzigo shabaha za taa uzilengeshe juu naona kama bado utawaumiza macho madereva wengine unaopishana nao
Kwasababu kule kubinuka hakupo tena,
Una adjust tu kutokana na barabara ilivyo.
Asanteni kwa niabaHongera kwa kumiliki European car!