Naomba kujuzwa juu ya Govt Bonds, ununuzi wa hisa DSE, Mutual bonds na UTT-Amis

Treasury Bonds ni nzuri hasa ya 25 yrs ambayo rates zake ni 12.56% kwa mwaka. Unapokea Coupon mara mbili kwa mwaka. Utaratibu ni lazima ufungue CDS account BOT ambapo Broker atashughulika na jambo Hilo.Ukinunua Bond Mfano ya 25yrs utalipwa 12.56% Kila mwaka kwa miaka 25 then itamature na utarudishiwa milioni 10 yako.
Unaweza kununua Bond kwa Discount, at per au at premium. Kwa sasa zinakuwa at discount kwa sababu watu wanawekeza kwenye biashara zaidi. Unapofanya maamuzu ya kununua Bond angalia inflation rate pia. Uwekezaji kwenye Bonds ni safest investment
UTT mifuko wa Liquid na Bond wanawekeza kwenye Bonds za muda mrefu na mfupi more than 90% asilomia chache wanawekeza kwenye Fixed Deposit s , Call Accounts etc. Return kwa mwaka uliopita haikuwa chini ya 14%
Hisa, hisa inahitaji Elimu kwanza, lakini ni uwekezaji mzuri zaidi hasa kampuni zinazofanya vizuri hasa CRDB, NMB, DSE, NICO ya sasa na Twiga cement. Unaweza kuweka Hela Kwenye Bond au UTT zile returns unanunua hisa hasa za hayo makampuni ili upate capital gain na dividend. Nimeenda haraka haraka but that is what i can share.
Sera ya mfuko wa liquid ni 50% wanawekeza kwa shares DSE na 50% government bonds.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwangu Mimi Anza na UTT bond fund, then UTT liquid fund,then government bond,then last options ni stock market.

Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba kujuzwa mtu binafsi anaweza kununua bond from BOT?Nasema hivi sababu niliwahi kuskia kwamba mtu binafsi hawezi kununua bond direct from BOT anatakiwa anunue Kwa banks zilizopewa dhamana na BOT then hizo banks zenyewe ndio zinanunua from BOT so faida itakayopatikana wanagawana banks na ww mtu binafsi naomba kujuzwa Kwa mwenye ufahamu.
 
Achana na stori za mtaani fatilia wewe mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba kujuzwa mtu binafsi anaweza kununua bond from BOT?Nasema hivi sababu niliwahi kuskia kwamba mtu binafsi hawezi kununua bond direct from BOT anatakiwa anunue Kwa banks zilizopewa dhamana na BOT then hizo banks zenyewe ndio zinanunua from BOT so faida itakayopatikana wanagawana banks na ww mtu binafsi naomba kujuzwa Kwa mwenye ufahamu.
Uwekezaji wa bond, wewe unanunua kupitia minada ambayo inafanyika almost kila wiki kulingana na uhitaji wako kwa kupitia dalali (dealer or broker such as vertex international securities, solomon stock brokers, orbit securities) hao madalali ni baadhi tu wapo wengi tu ingia kwenye websites za BOT, CMSA na DSE utawaona wote wapo listed ambao wameidhinishwa na BOT kupitia mamlaka ya masoko ya mitaji na dhamana (CMSA).

Biashara ya bond, wwe mwekezaji ndio unaikopesha serikali kulingana na asilimia zilizopo, kama umechagua bond ya miaka 25 ambayo percent yake ni 12.56% kwa mwaka, wwe faida yako au coupon utalipwa kila mwaka, then after 25 year ule mtaji wako uliowekeza utarudishiwa.
 
Mkuu, kwanini utt bond ni nzuri kuliko utt liquid?
mifuko zote zinafanya compounding interest,ila liquid haina option ya monthly dividend yenyewe faida inajizalisha kila mwezi then ukitaka kutoabaadae unatoa, tofauti na bond fund kuanzia investment ya 10mil unapata gawio kwa mwezi, 0.85% na 0.15% wanaifanyia re-investing.

nakupa mfano sasa ningekuwa mimi,mfano na bilioni 1.5 nataka kuwekekwangu mimi ningefanya hivi;
nafikiria kwanza maisha yangu mahitaji yangu kwa mwezi nahitaji kiasi gani cha pesa niweze kuishi kwa furaha hata kipindi nikiwa mremavu,au nimepata stroke au nimepata ulemavu wa kudumu,mfano hesabu zinasema nahitaji walau 5mil zinatosha kusave na kuhudumia familia,sasa najiuliza niweke shilingi ngapi mfuko wa Bond fund ili kila mwezi nipate milioni tano ambayo itakuwa 0.85% ya hela yote?

hesabu inakuwa hivi, 0.85%* y=5,000,000
cross multiplication now,y=589,000,000 tsh hii itakuwa monthly income na0.15% itabaki kukuza account ambyao ni 0.15%*589,000,000 =883,500 tsh hii itabaki kwa account ya UTT, sasa hapa kila mwezi nitakuwa napata mil 5, na reinvest amount ni tsh 883,500 hapa nitakuwa na uhakika wa kuishi miaka yote duniani bila kuyumba hata kipindi cha majanga ya kidunia kama maradhi sugu maana uzee una mambo mengi ni kujihami mapema kwa hiyo mil 589 kwenye 1.5bil naweka mfuko wa bond fund UTT kwa nini? uhakika wa kipato cha mwezi bila kuyumba.

haya nakuja mfuko wa pili liquid fund, najiuliza kamateali na cshflo ya 5mil kwa mwezi maisha yangu yote sasa najiuliza nataka baada ya muda flani wa kuishi duniani uzeeni yaani miaka 55 na kuendele niwe na mafuno ya ya walau bilioni moja plus kwa ajili ya starehe, halafu mfuko wa bond fund nitaufanya kama uridhi kwa familia yangu yaani mke na watoto kama nitakufa mapema,sasa UTT huwa wanatoa aproximation 12% kwa mwaka sasa wewe pigia tu 10% hii ten % kwa mfuko wa liquid fund utakuwa unafanyiwa compunded interest yaani faida jumuishi kwa kila mwezi, hapa unaweza tumia compunding caliculator kama huna say kwa 500mil, kwa sasa na miaka 30, nataka from nowkwa miaka 25 ndio nita withdraw pesa yangu yote kwenye mfuko wa liquid je nitakuwa jumla na fedha kiasi gani endapo growth %ni 10 annualy,ngoja tufanye hesabu sasa

kianzio, 500,000,000
riba kwa mwaka, 10%
muda miaka 25
jibu
utapata jumla riba utavuna tsh 4,917,353,971.6/= na jumla ya ya fedha yote yaani riba zote jumlisha mtaji utapata tsh 5,417,352,971.6/= hapa ndio power of compounding interest ya Albert Einstein innavyofanya kazi kwenye kujenga utajiri enderevu. so mwenye kingi ndio atapata zaidi. haya hadi hapa nakuwa nimewekeza bond na liquid fund UTT,jumla ya tsh 1,089,000,000 inakuwa ibeaki tsh 411,000,000.

sasa nafikiria tena pasive income nzuri nitakayoifanya nikiwa nimelala bila stress kwa pesa iliyobaki kwangu mimi nitanunua Hati fungani za serikri za muda mrefu 20 to 25 years. sasa nafanyeje? hata nitaenda kwa broker DSE , yaani soko la hisa dar es salaamu. namwambia broker nataka hati fungani ya muda mrefu, yeye atakuuliza tunanunua at per or premium au discount?,wewe mwambie nataka nishindemnada yeye atajua chakufanya, hapa atakufungulie account wanaita CDS ACCOUNT yaani ni central deposting account, ambapo utahamisha pesa yako kutoka bank kwenda kwa CDS account,hii ipo chini ya benki kuu wanaziita collectives accounts ,hata utt unapofungua account ile wanaiita collective accounts, yaani wakusanyia pesa kutoka kwa wateja then zinawekwa sehemu moja.sasa ukiingia kwa sasa website ya BOT kwa bond ya miaka 25 utapewa riba ya 12.56% kwa mwaka.

sasa tufanye hesabu 12.56%*411,000,000=51,621,600/= kwa mwaka, sawa na tsh 25,810,000/= kwamiezi sita ,maana gawio unapewa mala mbili kwa mwaka yaani kila baada ya miezi sita, sasa hapa hapa kule bond fund unakunja 5mil monthly, then after 6 months BOT wanakupa mil 25.81 kazi yako hapa ni kuimanage tu unaigawa kupata monthly unatakiwa kutumia max shilingi ngapi jibu unapata tsh 4,301,800/= sokila mwezi unahahakisha unatumia sizaidi ya 4.3mil,hapo una nyingine 5milya bond fund.

maelezo niliyotoa hapojuu ni passive liquid investiments,yaani unakuwa unapata gawio bila kuyumba compare to real estate ambayo ni illiquid,yaani kupata uhakika wa kupata passive income,unaathiriwa na factors nyingi sana so hakuna uhakika 100% wa kupata gawio. ukifanikiwakufanya hivi unaweza pia ukanunua hatifungani za serikari za kenya ili ufanye country wealth diversification.

na kwa selection ya mwisho basi utanunua hisa za makampuni haya CRDB, NMB, TBL, TWIGA CEMENT Na CIGARETTE TZ COMPANY.

Kama unaswali unaweza niuliza, nitakujibu kwakadri ya uelewa wangu niliyonao.

Ahasante nikutakie kazi njema.
 
Mkuu kununua bond za serikali minimum n pesa ngapi?
 
ufafanuzi mzuri sana Mkuu,
 
Mkuu,

This is one among the best comment of the year 2023.

Umeniongezea kitu kikubwa sana. Asante sana.

Uishi maisha marefu sana, ya Baraka, furaha na bata.
 
Back
Top Bottom