Naomba kujuzwa jinsi ya kupakua notes zilizo katika mfumo wa google drive

Mwenye ujuzi anifahamishe tafadhari.

Nawasilisha
Kama document haijawa protected, fungua kisha utaona sehemu ya download, bonyeza hapo.

Kama document zipo protected, yaani no access to download hapo utatumia mbinu nyingine ambayo kiukweli siwezi kuelezea na kukutumia formula hapa. Njoo pm tuyajenge nikupe kila kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…