Naomba kujuzwa hili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba kujuzwa hili

Discussion in 'JF Doctor' started by Mulhat Mpunga, Jan 12, 2012.

 1. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #1
  Jan 12, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,481
  Likes Received: 12,757
  Trophy Points: 280
  Habari dr na wana jamvi,nataka kujua umri
  wa mimba,mara ya mwisho kuona ile rangi
  kwa "akinamama"ilkuwa tarehe 6.9.2011
  je mimba hii inaumri gani?
   
 2. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #2
  Jan 12, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,481
  Likes Received: 12,757
  Trophy Points: 280
  Lol kumbe hakuna madaktari wa ukweli
  humu!?
  Dr dr dr kama nanhii
  khaaaaaa
  ngoja nkatafte kalma nzila anipe msaada make gt wanashidwa kunsaidia
   
 3. Tony Almeda

  Tony Almeda JF-Expert Member

  #3
  Jan 12, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Acha ukali dada Flora ila mimba yako ina wiki 18 ni sawa na miezi 4 na wiki 2, Vipi unaonyesha bado haujaanza Clinic, Nakushauri kwa afya ya mama na mtoto uanze mara moja kwenda Clinic.
   
 4. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #4
  Jan 12, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,481
  Likes Received: 12,757
  Trophy Points: 280
  kheeee yaan mwez wa 6 mpaka sasa ni wiki 18 tuu lahaula wa lakwata,
   
 5. T

  TUMY JF-Expert Member

  #5
  Jan 13, 2012
  Joined: Apr 22, 2009
  Messages: 706
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unaweza kuja Clinic kwangu kesho asubuhi pale magomeni nijaribu kupima vizuri
   
 6. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #6
  Jan 13, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Mimba yako imetunga tar 20-22 mwezi wa tisa kwa hyo mpaka sasa ina takriban miezi minne kasoro wiki moja hence ina wiki 15,kwa maelezo zaidi unaweza kuni-pm
   
 7. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #7
  Jan 13, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,481
  Likes Received: 12,757
  Trophy Points: 280
  khaaaaa ngoja nende
  hospital humu hakuna
  docta wala mkunga
  iv wasted ma time chawoooo
   
Loading...