Kitachu ndo nini?Hujawahikuona picha kama hiyo kwenye kitachu chochote cha shule ya msingi?!
Wakuu poleni na j.pili huwa nasafiri sana kwenda mikoani hiko kikazi sasa katika pitapita huavkuna baadhi ya sehemu hua nakuta vitu kama hivyo hivi wakuu hua ni vya nini!!![/QUOTE
Hiyo ni warehouse 'silo' ya taifa ya 1947.
Hakuna sayansi kimu siku hizi mkuu. Hizi shule za Saint nanihiu nani anafundisha kushika shika matope shambani?Strai8 answer, kama hajaelewa arudi std 7 sasa