Naomba kujuzwa hiki ni kitu gani

wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
24,973
27,209
423fbd751617f550d907e4b4694a8a2d.jpg

Wakuu poleni na j.pili huwa nasafiri sana kwenda mikoani hiko kikazi sasa katika pitapita huavkuna baadhi ya sehemu hua nakuta vitu kama hivyo hivi wakuu hua ni vya nini!!!
 
Maana HALIS ni ghala la kuhifazia chakula.....limetengenezwa kwa ustadi wa hal ya juu sana,hapo hawezi penya PANYA au NYOKA na mdudu yoyote mharibifu....!!
 
umekulia mjini wewe siyo makosa yako, lakini hata shule hujaona hata kwenye picha mkuu?
 
Hivi vitu vipo kwenye madaftari na vitabu vya shule ya msingi kwenye masomo ya maarifa ya jamii.....stadi za kazi au sayansi kilimo........sasa hata kama hukuwahi kuwepo kijijini.....basi hata kuviona kwenye vitabu yawezekana pia.....
 
Back
Top Bottom