Naomba kujuzwa hiki ni kifaa gani na kinafanya kazi gani

Skull dance

Senior Member
Mar 11, 2021
169
339
Kimekaa kama kichwa cha chaja kina port ya type C ila sijajua kinakuwa kinapokea moto kutoka kwenye chaja za type C au inakuwaje?

Na kikipokea huo moto kinafanyaje?

Nimejaribu kukichaji na kukonect bluetooth kwenye simu yangu labda nione chochote lakini hola! Naomba usaidizi wenu wakuu.

 

Kwamba umeconect bluetooth

Kimesomaje??
Nikajua ni adaptor ya type c,sasa kama ina bluetooth itakuwa balaaa.
 
Ndio mkuu nimezoea kuziona za usb port sasa nikajiuliza hii mbona inapokea kwa port ya type C sasa inatoa kwa ipi? Nikakosa jibu
Zipoo hadi za type c kwa ios.. Ni wewe tuu yan sikuhizi mambo ni meengi😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…