Dr Dre
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 2,669
- 2,859
hii id haipo mkuu lamda utusaidie tu mawasiliano yake mkuu tupate kupona na sisiId yake ni madihigwa kama sijakosea.
hii id haipo mkuu lamda utusaidie tu mawasiliano yake mkuu tupate kupona na sisiId yake ni madihigwa kama sijakosea.
Kwa miaka hii sijui ila 2014 nilipimwa bugando na walinicharge 70,000/=
UnazimwaMkuu Chakula Kibaya
Naomba experience yako, hicho kipimo cha Endoscopy. Je, kina maumivu? Je wanakifanya bila ganzi au kuna ganzi kwanza?
Unazimwa
Ehee, then wanafanya kipimo. Ukizinduka upo wodiniKwamba nazimishwa kwanza kwa muda?
Ehee, then wanafanya kipimo. Ukizinduka upo wodini
Hapana, nilitaka kufanyiwa ila niliposkia mambo ya kuzimishwa nikakimbia. Hawachelewi kukuzimisha moja kwa mojaUlishafanyiwa hicho kipimo?
Unapigwa ganzi husikii chochote ila tu inakereketa, nishawahi kufanyiwa.Mkuu Chakula Kibaya
Naomba experience yako, hicho kipimo cha Endoscopy. Je, kina maumivu? Je wanakifanya bila ganzi au kuna ganzi kwanza?