Holoholo
JF-Expert Member
- May 10, 2023
- 6,716
- 13,702
Wakuu,
Mimi ni mwajiriwa natokea mkoa wa Manyara,nimehamishiwa kikazi mkoa wa Katavi wilaya ya Mlele.
Naomba mnijuze ni fursa gani naweza fanya ya kujipatia kipato nje na ajira yangu kada ya ualimu?
Je, kuna changamoto gani za kuishi katika mkoa huu?
Ninapokwenda huko nikajiepushe na mambo gani na nikafanye mambo gani ili nibaki safe?
Natanguliza shukrani na Watu wa katavi nipokeeni ktk mkoa wenu.