Kijijini huwa wanatumia mafuta ya taa na matobotobo.
Hayo matobotobo sijui kwa jina la kitaalam huwa wanaitaje ila yako kama matunda madogo madogo ya mviringo yakiiva yanakuwa ya njano japo hayaliwi.
Huwa wanachemsha mafuta ya taa kisha wanaweka maji ya hilo tunda kisha wanadondosha kwenye jino
Wengine maumivu yakizidi huwa wanatafuna majani ya mbaazi, yanatuliza maumivu kwa haraka