Nini Dawa ya maumivu ya Jino /wisdom tooth pain

Kijana LOGICS

Senior Member
Dec 16, 2023
140
525
Ni takribani Siku 7 Sasa nasumbuliwa n'a maumivu makali sana ya Jino la mwisho.

Nmemona DAKTARI ameniambia ni ugonjwa uitwa wisdom tooth pain.

Nmetumia pain killer lakin imeshindikana
 
Bila kung'oa Hilo jino utakuwa unateseka tu bila solution ya kueleweka.
 
Nunua dawa ya Colgate.
Kila ukipiga mswaki usisuuze na maji mdomoni, wee suza mswaki lakini mdomoni usisuuze na maji. Dawa iliyoko mdomoni wee iteme pamoja na mate hadi iishe.

Fanya iwe utamaduni wako halafu leta mrejesho hapa hapa
 
Back
Top Bottom