Naomba kujuzwa chanjo ya Hepatitis B & C

Naomba kujuzwa chanjo ya Hepatitis B & C

Andres

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2013
Posts
505
Reaction score
829
Wakuu habari zenu?

Bila kuzunguka sana, ninaomba ushauri wenu kwa mwenye uelewa zaidi wa hizi chanjo za hepatitis B & C.

Je, hazina madhara yoyote ya kiafya mwilini ikizingatiwa ni unakaa nayo maisha yote mwilini mwako?

Ni vyema mtu uchome hizi sindano za chanjo au ni bora uishi bila kuwa nazo?
 
Hepatitis B kama hujapata,pata chanjo.Kama unayo,endelea na maisha,kinga ya mwili wako ikiwa sawa hamna shida kabisa,utaishi vema tu.
 
Kimbilia chanjo ndugu!Huo ugonjwa ni zaidi ya magonjwa yote mabaya unayoyajua!
 
Back
Top Bottom