ibradebo JF-Expert Member Joined May 8, 2015 Posts 304 Reaction score 187 Apr 17, 2020 #1 Habari za asubuhi wanajamii forum wenzangu, nina swali nataka niulize nina projector aina ya sony 3LCD nataka niuze ila sijajua thamani yake. Kama kuna yeyote anayejua bei za projector aniambie ili nikadirie bei ya kuuza, ni kama mpya imetumika vizuri haina mikwaruzo Sent using Jamii Forums mobile app
Habari za asubuhi wanajamii forum wenzangu, nina swali nataka niulize nina projector aina ya sony 3LCD nataka niuze ila sijajua thamani yake. Kama kuna yeyote anayejua bei za projector aniambie ili nikadirie bei ya kuuza, ni kama mpya imetumika vizuri haina mikwaruzo Sent using Jamii Forums mobile app
S Supu ya Kokoto JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 5,281 Reaction score 9,590 Apr 17, 2020 #2 Wapo wanaoweza kukukadiria Bei iwapo wataiona hata kwenye picha. Kikubwa upload picha Safi na nzuri za bidhaa yako
Wapo wanaoweza kukukadiria Bei iwapo wataiona hata kwenye picha. Kikubwa upload picha Safi na nzuri za bidhaa yako