Mbishi Uswazi
Senior Member
- Feb 7, 2020
- 175
- 338
Pia naoma kujuzwa urefu na upana wake, pamoja na uimara wake
Plywood kwa mama wahenga ( FMJ Hardware ) buguruni ilikua ni 8000tshs sasa hivi itakua imepanda labda 12,000 tshs...
Yule maza yupo vizuri hatari...uyu mama anafanya vzuri sana