Hamuoni huu uzi au ni dharau!!??
Hahahah sio lazima kuchangia mkuu nilikua natania ok nashukru kwa ushirikano wako
Hizo za rangi kwa bei hiyo ya 20,000 nani msambazaji au miuuzaji ???Kwani lazma kuchangia.
Ok bati sasa hivi zimepanda bei.
Bati nyeupe zinauzwa 270,000.kwa bando ambazo zinakaa pcs 16.ukigawanya hapo unapata elfu 16 na kitu Kwa bati moja.
Hyo ni kampuni ya kiboko imara.
Zile za rangi bati moja linauzwa elfu 20.
Hyo ni bei ya jumla
Na kuna bati za Uganda..nazo bei mle mle hazipishan sana
Na kuna bati za Uganda..nazo bei mle mle hazipishan sana
Hizo za rangi kwa bei hiyo ya 20,000 nani msambazaji au miuuzaji ???