M Martinez JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 525 Reaction score 161 Apr 1, 2013 #1 Wana JF, Ninaomba kujulishwa bei na namna ya kupata Kontena tupu. Mimi nipo Morogoro
A Akiri JF-Expert Member Joined Sep 21, 2010 Posts 1,445 Reaction score 216 Apr 1, 2013 #2 contena 40ft jipya na vibali vyote utapata kwa 6.5 na contena 20ft na vibari vyote utapata kwa 4.5m 0657145555
contena 40ft jipya na vibali vyote utapata kwa 6.5 na contena 20ft na vibari vyote utapata kwa 4.5m 0657145555
orthodox Member Joined Apr 29, 2012 Posts 44 Reaction score 6 Jul 1, 2014 #3 Hata mimi natafuta mwanajamii naamini tutapata majibu mazuzi kutoka kwa members,hizo bei hapo juu ni pamoja na usafiri??
Hata mimi natafuta mwanajamii naamini tutapata majibu mazuzi kutoka kwa members,hizo bei hapo juu ni pamoja na usafiri??
M mjusi kafiri Member Joined Oct 8, 2010 Posts 67 Reaction score 52 Jul 1, 2014 #4 orthodox said: Hata mimi natafuta mwanajamii naamini tutapata majibu mazuzi kutoka kwa members,hizo bei hapo juu ni pamoja na usafiri?? Click to expand... mkuu lipo Dar la ft 40 bei us 3700 maongezi yapo
orthodox said: Hata mimi natafuta mwanajamii naamini tutapata majibu mazuzi kutoka kwa members,hizo bei hapo juu ni pamoja na usafiri?? Click to expand... mkuu lipo Dar la ft 40 bei us 3700 maongezi yapo
mfetere JF-Expert Member Joined Feb 27, 2014 Posts 251 Reaction score 95 Jul 2, 2014 #5 Mm pia lipo 20ft na 40 ft