NAOMBA KUJUA

NAOMBA KUJUA

MBOSA boy

Member
Joined
Sep 2, 2021
Posts
48
Reaction score
31
Habari!!
Naomba kufahamu ni mamabo gani yanaweza kufanya mtu asichaguliwe kufanya hata oral interview katika process za application za kazi utumishi wa Umma.
Ni vitu gani vinaweza kumdisqualify MTU?? Ahsanteni
 
Yapo mengi mfano:‐

Kuto ku sign barua ya maombi
Kukosea anuani ya mwajiri wako
Kukosea title ya nafasi unayo omba
Kuto certify vyeti vyako vya taaluma
Kuambatanisha documents sehemu isiyohusika

Hayo ni machache ila nadhani yapo mengi wadau wataongezea hapo.
 
Asante Sana Ila kuambatanisha documents hapo naomba ufafanuzi zaidi mkuu
 
Back
Top Bottom