msigazi JF-Expert Member Joined Sep 1, 2017 Posts 475 Reaction score 358 Jan 7, 2019 #1 Nimepoteza kitambulisho changu cha kura Nahitaji Sana kupata namba zake za kitambulisho Maana niza mhimu Sana kwangu Kwa anaejua hilo Naomba anisaidie Natanguliza shukrani Sent using Jamii Forums mobile app
Nimepoteza kitambulisho changu cha kura Nahitaji Sana kupata namba zake za kitambulisho Maana niza mhimu Sana kwangu Kwa anaejua hilo Naomba anisaidie Natanguliza shukrani Sent using Jamii Forums mobile app
APEFACE JF-Expert Member Joined Oct 1, 2016 Posts 6,285 Reaction score 12,620 Jan 7, 2019 #2 Nenda makao makuu ya Tume ya uchaguzi