Thelionden
Senior Member
- Apr 7, 2018
- 165
- 156
Yenye Mfumo Wa ECO Ambao Unatumia Mafuta Kwa UchacheToyota Hilux is the best hasa upate D4D Turbo Diesel with Manual transmission.
Sema bei zake zimechangamka kidogo
Nissan Hardbody ni gari nzuri.. Hilux pia ni gari nzuri.
Sina experience na hardbody, lakini ninatumia hilux engine 2kd cc 2400. Tangu niinunue sijawahi kubadilisha spare part yoyote. Ni service tu na nnaweka genuine oils and filters. Every after 5000 kms.. kwa kweli mimi sina lalamiko juu ya hii gari mpaka wa leo.. long safari ina perform vizuri, fourwheel kwenye matope pia sijawahi kukwama.. soo huo ndo ushahidi wangu broo
Toyota Hilux is the best hasa upate D4D Turbo Diesel with Manual transmission.
Sema bei zake zimechangamka kidogo
Ni gari imara na standard hasa kwa mazingira yetu haya ya Kitanzania. Kama ni mtu wa safari chukua 3.0 LNimekupata kwa herufi kubwa mzee wangu kigogo hii machine kuna jamaa anaitumia anaisifu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo na uzoefu na gari zote na gari zote ni nzuri.. just zote upate manual and ziwe diesel..
Hardbody seat ya nyuma imebanwa na unakaa kama upo kwa sedan.. ukipata version za UK is the best, version zilizotengenezwa SA ni kama cheaper option sio nzuri sanaaahhhhh...
Hilux ipo juu juu hata seat ndani na nafasi ya kutosha.. version ya Uk or thailand au Japan nzuri na ina tairi kubwa option ya SA vitairi vidogo ipo annoying kimtindo
Ila all in all both are tough cars, best fuel economy , zina power sanah na nzuri off road na lami..
Sent using Jamii Forums mobile app
Gari zote ziko vzuri na Wadau wamekupa majibu mujarabu kabisa. Lkn cha kuzingatia hapo hizo Nissan tatizo kubwa linakuja kwenye Mfumo wake wa Mafuta yaani Nozzle na Pump zake zimekuwa mtihani sana zikianza kusumbua maana zinapatikana kwa bei juu.Wakuu habari za mihangaiko ya hapa na pale, Naomba kupata ufafanuzi kidogo kati ya gari hizo tajwa hapo juu katika vipengele vifuatavyo:
1. Uimara wake rough road
2. Upatikanaji wa vipuri
3. Kuhimili safari ndefu kuanzia km 1500
4. Comfortability kwenye rami na rough roads
5. Service
Naomba kuwasilisha wakuu kwa kujipa elimu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Fact....Gari zote ziko vzuri na Wadau wamekupa majibu mujarabu kabisa. Lkn cha kuzingatia hapo hizo Nissan tatizo kubwa linakuja kwenye Mfumo wake wa Mafuta yaani Nozzle na Pump zake zimekuwa mtihani sana zikianza kusumbua maana zinapatikana kwa bei juu.
Kwa Hilux Vigggo iko vizuri sana kuanzia Speed, fuel economy na uimara wa injini, tatizo tu ile gari haina Body yaani ni bati la Gauge 32 pale ALAF ndio naliona kwenye ile gari
Gari zote ziko vzuri na Wadau wamekupa majibu mujarabu kabisa. Lkn cha kuzingatia hapo hizo Nissan tatizo kubwa linakuja kwenye Mfumo wake wa Mafuta yaani Nozzle na Pump zake zimekuwa mtihani sana zikianza kusumbua maana zinapatikana kwa bei juu.
Kwa Hilux Vigggo iko vizuri sana kuanzia Speed, fuel economy na uimara wa injini, tatizo tu ile gari haina Body yaani ni bati la Gauge 32 pale ALAF ndio naliona kwenye ile gari
Kwa speed,comfartability zaidi ukiwa ndani,spea za bei rahisi chukua Hilux.
Kwa ugumu,mikiki mikiki ya pori,kubeba mizigo,milimani,spea bei juu kidogo ila ukifunga umefunga chukua Hard body.
Nilikua kwenye Ngo flani ya wazungu,walizileta zikiwa 0km kabisa.route na kazi zilikua milimani,porini,zikiwa na mizigo nyuma ya maana,shuluba zakutosha.
Leo hii zikiwekwa hapa unaweza Hilux ilinunuliwa mwaka 90 jinsi ilivyosanda,gharama za maintenance tangu zilinunuliwe hilux anaongoza!
Hilux mayai mayai tu