mtume wawatu
JF-Expert Member
- Oct 30, 2016
- 1,223
- 1,392
Sawa kuna uzi mwingine unamjadili mshika maaraka tangu hajaenda munduli kufundisha siasa. Sua la mmashariki na mwenzake sijui.Nimeupitia mkuu, na nyingine nyingi ila wengi wanaanza kuwazungumzia kwenye harakati za kuanzia mwaka 95.
Nia yangu ni kujua walianzia wapi kama mmoja mmoja na kama kundi mpaka kufikia uwezo tunaosimuliwa, waliokuja kuonesha hapo kuanzia 95