Wee mburula ombi lako kamwe haliwezi kuwa "News Alert"!!Wanabidi, nijuavyo Mimi Mh Kikwete anayemaliza muda wake alianza kua mwenyekiti wa cmm ngazi mbali mbali akiwa kijana Mdogo sana, Nakumbuka sana alipokua Mwenyekiti wa CCM mkoani wa Singida kama sehemu mojawapo aliyowahi kuishi kipindi hicho alikua ni kijana Mdogo sana. Kikwete anaifahamu CCM vizuri kuanzia matawi mpaka ngazi ya taifa. Ni mzoefu wa structure yote ya uongozi ndani ya CCM tena alikua ni kijana anayelelewa na Mwalim Nyerere enzi hizo.
Nauliza tu, vipi uzoefu wa wagombea wa uenyekiti wanaotegemewa moja kati yao kushika nafasi hiyo? Kutokua na uzoefu wa kukifahamu chama vizuri hakuna athari yeyote? Hatutakua na chama chenye uongozi wa mwendokasi kweli?
Nimeuliza hili kwa sababu ni rahisi sana kuongoza endapo mtu atakua anaijua administrative structure ya chama vizuri. Uenyekiti sio sawa na nafasi kama ya katibu mkuu ambaye yeye ni mtendaji tu lakini hawezi kua na power ya kuamua mambo flani makubwa yakihusuyo chama.
Uzoefu ni hoja isiyo na reasoning yoyote, wala rational analysis. Chama(CCM) ni taasisi ya watu tena wachache ambao hata milioni 10 hawafiki.Ishu ni ability kuwa kiongozi. Magufuli amekuwa mwalimu kwa miaka mingi(akiongoza watu).Magufuli amekuwa mbunge kwa miaka 15(akiongoza watu). Magufuli amekuwa waziri kwa miaka mingi(akiongoza watu).Magufuli amekuwa Raisi kwa miezi 8 sasa(akiongoza watu zaidi ya mil.50). Ni dhahiri kabisa Magufuli was born a leader amethibitisha hilo kwa miezi hii michache kama raisi.Ajenda ya uzoefu inatoka wapi? Je ni ya msingi?Je niya kweli? Ajenda hii ni ya wongo mtupu. Watu mna mambo yenu ndo mnajificha kwenye ajenda ambayo haina mashiko. Tafuteni nyingine. Magufuli ana uzoefu wa uongozi kupita hata kiasi kinachotakiwa. Hakuna chuo cha kusomea umwenyekiti. Umwenyekiti ni uongozi kama ulivyo mwingine kwasababu watu ni walewale wananchi wa TZ. JPM anatosha kwa nafasi ya umwenyeketi.Wanabidi, nijuavyo Mimi Mh Kikwete anayemaliza muda wake alianza kua mwenyekiti wa cmm ngazi mbali mbali akiwa kijana Mdogo sana, Nakumbuka sana alipokua Mwenyekiti wa CCM mkoani wa Singida kama sehemu mojawapo aliyowahi kuishi kipindi hicho alikua ni kijana Mdogo sana. Kikwete anaifahamu CCM vizuri kuanzia matawi mpaka ngazi ya taifa. Ni mzoefu wa structure yote ya uongozi ndani ya CCM tena alikua ni kijana anayelelewa na Mwalim Nyerere enzi hizo.
Nauliza tu, vipi uzoefu wa wagombea wa uenyekiti wanaotegemewa moja kati yao kushika nafasi hiyo? Kutokua na uzoefu wa kukifahamu chama vizuri hakuna athari yeyote? Hatutakua na chama chenye uongozi wa mwendokasi kweli?
Nimeuliza hili kwa sababu ni rahisi sana kuongoza endapo mtu atakua anaijua administrative structure ya chama vizuri. Uenyekiti sio sawa na nafasi kama ya katibu mkuu ambaye yeye ni mtendaji tu lakini hawezi kua na power ya kuamua mambo flani makubwa yakihusuyo chama.
Wakati Lowasa anauziwa chadema na kugombea urais alikuwa na uzoefu na chadema kwa masaa mangapi ??ma ccm yatakuja kusutana.
swissme
Miaka 20mbunge kwa miaka 15 (akiongoza watu).
Wakati Lowasa anauziwa chadema na kugombea urais alikuwa na uzoefu na chadema kwa masaa mangapi ??
Ya chadema yamewashinda ,ya ccm mtayaweza wapi??.
Magufuli amekuwa mbunge na waziri kupitia ccm kwa miaka 20 !! Alafu wewe kibavicha kutoka ufipa unakuja kitumbo mbele kudai hana uzoefu na chama!!
Shame on you
jamaa mtoa mada kauliza tu lakini mmeshindwa kumjibu mmebaki kutoa kashfa na matusi.hoja ya kuwa hana uzoefu ni hoja mfu ambayo ni propaganda ya hovyo kabisa tena mfu!! tafuteni nyingine!!
Ni kweli mkuu naona katika eneo hilo nimechanganya. Ila ni bora unaelewa historia yake ya uongozi CCM.JK hakuwa Mwenyekiti Singida bali Katibu wa Chama.
Hata Magufuli PhD (Rais) uzoefu tele tu. Mbona Vijana wa juzi tu waliopambana Vyuoni wamekuwa wakuu wa taasisi na mamlaka za nchi!!!
Anatosha. Apewe tu ili awanyooshe na huko huko ndani kwao (nasikia wanaogopa ujio wake kama nini)!
Kwani Mamvi alikua na uzoefu gani kwenye ile saccos yenu akaja saa4 asubuh saa7 mkamteua kugombea Urais.Ukinipa jibu nitakupa kuhusu JpmWanabidi, nijuavyo Mimi Mh Kikwete anayemaliza muda wake alianza kua mwenyekiti wa cmm ngazi mbali mbali akiwa kijana Mdogo sana, Nakumbuka sana alipokua Mwenyekiti wa CCM mkoani wa Singida kama sehemu mojawapo aliyowahi kuishi kipindi hicho alikua ni kijana Mdogo sana. Kikwete anaifahamu CCM vizuri kuanzia matawi mpaka ngazi ya taifa. Ni mzoefu wa structure yote ya uongozi ndani ya CCM tena alikua ni kijana anayelelewa na Mwalim Nyerere enzi hizo.