Jack HD
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 851
- 1,170
Habari wakuu,
Natumaini mnaendelea vizuri na majukumu ya kujenga taifa.
Bila kupotozea muda.
Chuo cha DMI kinatoa Masters kwenye course mbili kwa sasa. Ambazo ni Shipping Economics & Logistics pamoja na Masters In Transport and Supply chain. Ningeomba wajuzi na waelewa zaidi kushauri kama gamba kwa Masters kwa nyanja hizo kutoka chuo hicho kinauza kwenye soko la ajira.
Pia ningependa kushindanisha na Msc in Logistics and transport management kutoka chuo cha NIT. Course zote hizo zimejikita kwenye logistics, Je ipi ni bora zaidi na kwanini? Ipi yenye fursa na kukubalika zaidi kwenye soko la ajira. Shukrani kwa michango yenu.