Mwimbe CL
Senior Member
- Aug 22, 2013
- 147
- 96
Wadau habari zenu poleni na majukumu ya kulijenga Taifa ....bila kipoteza muda naomba kufahamu juu ya jambo hili nililolisikia mitaani . Hivi nikweli kwamba kwa manaume anapokuwa kwenye tendo la kujamiiana anapofika kileleni yani hatua ya kumaliza kutoa mbegu akizibwa mbele kwenye tundu la kutokea mbegu anakuwa hanisi yani hatasimamisha tena uume!? Yani jambo hilo la kuzibwa mbele wakati wa kumwaga linaweza kumsababishia uhanisi!? Naomba ushilikiano kwa wanaofahamu, naomba kuwakilisha