Naomba kujua ukweli kuhusu hili la wafanyakazi wa IPP Media

Shmy

Senior Member
Aug 3, 2012
148
55
Kuna maneno mengi yanavuma mtaani kuwa wafanyakazi wa IPP Media hawana mikataba ya kazi na boss wao anawalipa posho.

Mimi namuona boss wao akitoa misaada sehemu mbalimbali. Haya maneno yametungwa kumchafua huyu bosi au kuna ukweli ndani yake?

Natamani nipate angalau mkataba wa mfanyakazi mmoja ili kuondoa uvumi huu.
 
Kuna maneno mengi yanavuma mtaani kuwa wafanyakazi wa Ipp media hawana mikataba ya kazi na boss wao anawalipa posho. Mi namuona boss wao akitoa misaada sehemu mbalimbali. Haya maneno yametungwa kumchafua huyu bosi au kuna ukweli ndani yake. Natamani nipate angalau mkataba wa mfanyakazi mmoja ili kuondoa uvumi huu.
Yule ni bepari, sifa za bepari ni lazima aku utilize effectively ili uendelee kumtumikia, misaada anayotoa ni lile pilau mara moja kwa mwaka we uliwahi jiuliza ama uliona wp akitangaza amepata faida kiasi gani? We kama unataka kazi pale nenda ila mshahara kilo 5!
 
Kuna maneno mengi yanavuma mtaani kuwa wafanyakazi wa Ipp media hawana mikataba ya kazi na boss wao anawalipa posho. Mi namuona boss wao akitoa misaada sehemu mbalimbali. Haya maneno yametungwa kumchafua huyu bosi au kuna ukweli ndani yake. Natamani nipate angalau mkataba wa mfanyakazi mmoja ili kuondoa uvumi huu.
Aliwahi kuchorwa gazetini akitoa misaada nje ilihali wafanyakazi wake wanalia njaa akafuta matangazo yote ya ilo gazeti kwenye radio yake!. Kwa ufupi sio kuwa namsema vibaya hiyo ndio tabia yake kupenda kusifiwa kwa gharama za wanaomfanyia kazi.
 
....na sie walalahoi huwa tuna katabia kabovu sana,ukiwa na njaa unaenda kutafuta kazi huikumbuki hiyo laki 5,ukishapewa kazi ukaizoea,ndio unaanza laki tano.!!
...rubbish,acha kazi urudi nyumbani,vinginevyo ridhika na kidogo unachopata,km kwako laki tano ndogo,mwenzio anaitafuta hata laki nne haipati.
 
Unafki tu na uccm kwa kutunga uongo, kama halipi mishahara tafsiri yake kodi haiilipwi ya serikali na tungemsikia kwenye media kama kashfa kubwa, waza tu mzee Masako na umri wote bila mkataba wa kazi inawezekana vipi?Sam Mahela anazunguka nchi nzima akitupia Facebook taarifa zake akipiga kazi kwa bidii.
Ukweli uko kuna dada tulisoma naye yuko pale since 2012 wala hawazi kuhama taasisi. Mishahara ya laki tano kama net hata serikalini ni ya kawaida sana mpaka wengine laki tatu.
Pia kumbuka hata mikataba ya muda mfupi lazima ulipe kodi labda kufanya kazi za vibarua ambayo unalipwa per day
Mwachine mzee wa watu achape kazi na atoe misaada kusaidia kasi ya Magufuli
 
Mara nyingi wabongo wanaingiza siasa kwenye Mambo ya msingi. Kumchafulia mtu kwa personal interest limekuwa wimbi kubwa. Nashindwa kupata mantiki ukubwa wa makampuni ya ipp alafu mtu hapewi mkataba wa kazi while anafanya kazi zaidi ya 4 to 6 years. Is it true.
 
Unafki tu na uccm kwa kutunga uongo, kama halipi mishahara tafsiri yake kodi haiilipwi ya serikali na tungemsikia kwenye media kama kashfa kubwa, waza tu mzee Masako na umri wote bila mkataba wa kazi inawezekana vipi?Sam Mahela anazunguka nchi nzima akitupia Facebook taarifa zake akipiga kazi kwa bidii.
Ukweli uko kuna dada tulisoma naye yuko pale since 2012 wala hawazi kuhama taasisi. Mishahara ya laki tano kama net hata serikalini ni ya kawaida sana mpaka wengine laki tatu.
Pia kumbuka hata mikataba ya muda mfupi lazima ulipe kodi labda kufanya kazi za vibarua ambayo unalipwa per day
Mwachine mzee wa watu achape kazi na atoe misaada kusaidia kasi ya Magufuli
Uvumi huu unaniumiza sana. Nashindwa kuamini kwa kweli kwani kati ya vyombo vya habari ambavyo havikupata kashifa kwenye issue ya kodi ni ipp media.
 
Kuna haja ya serikali kupitia maofisi yote nchini kusitisha ajira za muda mrefu zinazofanywa kihuni..
 
Mbona hyo kubwa kuna watu wako serikalini wanalipwa hata laki Tatu haifiki
Kiwango cha mshahara sio tatizo ila uvumi wa kusema wafanyakazi wake hakuna mwenye m kataba hata kama ni wa seasonal na ulipwa posho tu. Ni kweli au kumpaka matope baba wa watu
 
Back
Top Bottom