Naomba kujua tofauti ya resume na CV

Redpanther

JF-Expert Member
Feb 23, 2019
2,813
3,767
Habari za wakati huu tena wakuu!

Kama kichwa cha habari kinavyosomeka, nataka kujua tofauti ya hizi document na pia kama mtu anafahamu namna ya kuiandika Resume basi anisaidie hata kunipa link ambayo inaelezea vizuri namna ya kuandika Resumes.

Natanguliza shukrani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CV ni ndefu, Resume ni fupi
CV inakuwa na kila kitu kinachokuhusu Resume inakuwa na vitu vyote vinavyohitajika-mf.Kazi inahitaji uzoefu fulani basi resume itaonesha zaidi ule uzoefu fulani.

CV haibadiliki mara kwa mara ila Resume hubadilika kwenda na aina ya kazi unayoomba
Resume ina faida katika utafutaji wa ajira ila CV ina faida katika kutafuta Cheo.
 
CV ni ndefu,Resume ni fupi
CV inakuwa na kila kitu kinachokuhusu Resume inakuwa na vitu vyote vinavyohitajika-mf.Kazi inahitaji uzoefu fulani basi resume itaonesha zaidi ule uzoefu fulani
CV haibadiliki mara kwa mara ila Resume hubadilika kwenda na aina ya kazi unayoomba
Resume ina faida katika utafutaji wa ajira ila CV ina faida katika kutafuta CHEO
Thread closed

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[QUOTE="Redpanther, post: 35444709, member: 539634"
]

Habari za wakati huu tena wakuu.!
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka, nataka kujua tofauti ya hizi document na pia kama mtu anafahamu namna ya kuiandika Resume basi anisaidie hata kunipa link ambayo inaelezea vizuri namna ya kuandika Resumes.

Natanguliza shukrani.

Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUOTE] vinamaanisha kitu kimoja ila resume ni American style CV ni British
 
[QUOTE="Redpanther, post: 35444709, member: 539634"
]

Habari za wakati huu tena wakuu.!
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka, nataka kujua tofauti ya hizi document na pia kama mtu anafahamu namna ya kuiandika Resume basi anisaidie hata kunipa link ambayo inaelezea vizuri namna ya kuandika Resumes.

Natanguliza shukrani.

Sent using Jamii Forums mobile app
vinamaanisha kitu kimoja ila resume ni American style CV ni British[/QUOTE]

Ahsantee sana kwa michango yenu.!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom