MARA IMARA
JF-Expert Member
- Aug 15, 2015
- 238
- 163
kwa kuwa una idea kuhusu hypotheais,ntakusaidia hzo mbili..conceptual framework ni wakati pale mtafiti baada ya kufanya literature review huibuka na maudhui(themes) mbali mbali kuhusu hzo literatures...theoretical framework ni maelezo kuhusu namna gani themes za kwenye hzo literatures zako zina direct au indirect impact kwenye topic yako ya utafiti..
msaada tafadhali ninafanya research yangu ya masters ndo kwanza niko kwenye proposal haya mambo yamekuwa yananichanganya sana Hasa kuyatumia kwenye qualitative and quantitative research maneno haya ni conceptual na theoretical framework, kidogo hypothesisi ninaijua jua ,utamu wa maarifa ni kushea na maoni yako kidogo tu yanaweza badili mambo mengi sana na labda tanzania yote.lets share
Wanafunzi wa kitanzania at times ni shida sana! Yaani at masters level badala ya kusoma vitabu unakuja kuuliza jamii forums!! Its a shame .
Social network ni moja ya sources za habari NA literature reviews hata vitabu unavyozungumzia wewe nowdayz viko softcopied. Kosa liko wapi kupata habari kwenye mtandao NA kwenye kitabu unawza soma kwenye kitabu husielewe NA kupita jf ukaelewa inshu ni kuelewa pasipo kujali umepata wapi its information age there are simple means of acquiring knowledge! Kuna watu wanapata tiba kupitia jf doctors nao ungependa mpaka waende hospital kwa hiyo hata Google scholar.Fikiri Mara mbili information bila kushea haina maana.hata jf unayotumia ni matokeo ya kushea info.kwa nn nkakomae library siku wakati naweza okoa huo muda kwa MTU kunielezea on social network.hauko sahii
Wanafunzi wa kitanzania at times ni shida sana! Yaani at masters level badala ya kusoma vitabu unakuja kuuliza jamii forums!! Its a shame .
Acha upuuzi wewe kumharibia mtu uzi wake ambao una mantiki kubwa. Hakuna kitu cha muhimu kama mtu kutafuta knowledge, haijalishi inapatikana toka source gani. Hapa tuna ma PhD holders, wanaweza kumpa knowledge kwa sentensi 10 tu ambayo asingeipata kwa kukaa library au kushinda na kitabu masaa mengi
Zaid ni kwamba,unaruhusiwa kutumia moja tu,either theoreticl or conceptul,na nzr zaid conceptl coz unaitengeneza mwnyw
Wanafunzi wa kitanzania at times ni shida sana! Yaani at masters level badala ya kusoma vitabu unakuja kuuliza jamii forums!! Its a shame .
msaada tafadhali ninafanya research yangu ya masters ndo kwanza niko kwenye proposal haya mambo yamekuwa yananichanganya sana Hasa kuyatumia kwenye qualitative and quantitative research maneno haya ni conceptual na theoretical framework, kidogo hypothesisi ninaijua jua ,utamu wa maarifa ni kushea na maoni yako kidogo tu yanaweza badili mambo mengi sana na labda tanzania yote.lets share
Navyoelewa mimi conceptual framework inakuwa developed kutoa details kuhusiana na major themes utakazofanya nazo kazi. It tells more about the context of your writing kwa kudefine wewe kama wewe unaview vipi study yako.
Maake the same study inaweza kuwa katika contexts tofauti tofauti so wewe kama mtafiti unafanya kazi katika context ipi?? Hiyo ndio naifahamu kama conceptual framework.
Na kuhusu theoretical framework hii huwa inakuwa developed kutokana na theories ambazo zimeshaandikwa kuhusiana na hicho unachokifanyia tafiti. It comes more from pre existing literature.
Nadhani hypothesis ni kingime na conceptual framework ni kingime. Kwenye hypothesis yako lazima kuna variables zinatengeneza hypothesis, so conceptual framework yako itadefine the depth of your variables na how do you fit them kwenye context ya research yako.unaona mambo ndo haya kipindi nasoma soma nimekutana na hii kitu kuwa its better kutumia moja na wengi wanapendelea conceptual kwa sababu unajiachia na unaeweza kudili nayo. ntatumia conceptual..lakini sasa hypothesis itakwa na haja tena? maana ntaenda kutest conceptual framework si ndio?
.msaada tafadhali ninafanya research yangu ya masters ndo kwanza niko kwenye proposal haya mambo yamekuwa yananichanganya sana Hasa kuyatumia kwenye qualitative and quantitative research maneno haya ni conceptual na theoretical framework, kidogo hypothesisi ninaijua jua ,utamu wa maarifa ni kushea na maoni yako kidogo tu yanaweza badili mambo mengi sana na labda tanzania yote.lets share