Naomba kujua tofauti kati ya Vanguard na Harrier 240g

mpimamstaafu

JF-Expert Member
Jul 18, 2018
4,445
4,704
Watalaamu wa magari ya Toyota naomba kujua tofauti ya aina ya magari hayo toka ukubwa wa injini, ulaji wa mafuta, uwezo wa kubeba abiria, uimara wa gari na kadhalika pia bei yake kwa gari la 2009 mpaka 2014.
 
Harrier mpango mzima....kwanza ndani iko spacious yaan ina nafasi kubwa hapo seat za nyuma unakaa kwa raha zote hata mkiwa watu 4.vanguard imejibana sana ndani..
Engine na fuel consumption vinafanana...
Harrier ni more confortable....
Hata mimi nilitaka kununua hiyo vanguard ila mwisho wa siku nikaabgukia kwenye harrier lexus full option..
 
Harrier siti za nyuma hazina nafasi kubwa kiivyo za kuwaweka watu wazima wanne labda useme watoto ila sio watu wazima 4 watakaa kwa kujibana bana sana
 
Harrier mpango mzima....kwanza ndani iko spacious yaan ina nafasi kubwa hapo seat za nyuma unakaa kwa raha zote hata mkiwa watu 4.vanguard imejibana sana ndani..
Engine na fuel consumption vinafanana...
Harrier ni more confortable....
Hata mimi nilitaka kununua hiyo vanguard ila mwisho wa siku nikaabgukia kwenye harrier lexus full option..
Vanguard si gari ya kitoto. Pamoja na kwamba engine yake ni sawa na za harrier/rav4, vanguard ni more poweful. Zaidi ni stability (utulivu) uwapo barabarani. Hadi 180km/hr unafika bila shida.. wakati harrier akifika 140 km/hr gari inaanza kumuacha.

Vanguard kula sambamba na v8 ni kitu cha kawaida
 
Iyo 240 ni 30M mkuu mshana na unayosema wewe ya 24M ni 330 jinsi engine inavyozidi kupungua udogo ndivyo bei inakua kubwa
Mshana Jr yupo sahihi 240 unaweza kupata kwa 20M pampja na Old zote na zikiwa na 3000cc ni chini ya 10M
lakini sio hizo za RX 300 au RX330 hizo zinahezea kwenye 30M na zina engine ya 2.4 (cc2400)
hizo namba 300, 330 RX350 sio inamaanisha ni cc3000 ukubwa wa injini
1577035353417.png
 
Vanguard si gari ya kitoto. Pamoja na kwamba engine yake ni sawa na za harrier/rav4, vanguard ni more poweful. Zaidi ni stability (utulivu) uwapo barabarani. Hadi 180km/hr unafika bila shida.. wakati harrier akifika 140 km/hr gari inaanza kumuacha.

Vanguard kula sambamba na v8 ni kitu cha kawaida

Hapo kwenye stability nakubaliana nawe...harrier ni wenge sana at high speed.
 
Back
Top Bottom