remy_official
Member
- Apr 13, 2017
- 27
- 14

Habari za mchana wanajf jaman naomba kujua tafsiri ya hizo pointi hapo kwenye picha naitaji kuziandika kwa Kiswahili nimeshindwa kuyaandika kwa Kiswahili hivyo naomba mwenye kujua maana yake kwa kiswahili naomba anipe tafsili yake.