Aisee binafsi siwezi mshauri mtu alime zao hili kibiashara.
Ni zao ambalo sio la kibiashara kimantiki, lina uzalishaji mkubwa sana ambao nafikiria ndio zao ambalo lina production kubwa kuliko mazao yote yanayolimwa na binadamu duniani
Zone uliyopo kwa nini usilime alfa alfa kwa ajili ya kulisha Sungura na ng'ombe wa maziwa? sababu najua sehemu inapostawi ngano Alfa alfa,hay vyote vinastawi vizuri mno