Mimi nimengiwa UDOM kujiunga first year this year BSc in Petroleum Engineering. Naomba kufahamu hivi petroleum Engineering at UDOM ilianzishwa mwaka gani hii kozi. Pia ningependa kujua zaidi kuhusu hii kozi.
Hivi mbona siku hizi mijadala ya wanafunzi wa chuo kikuu imekaa kama mijadala ya wauza mitumba wa manzese? au mimi uzee ndio unanisumbua?
we kwel umezeeka umekua hile DCCM cio marcopolo inayopiga root za gongo la mboto.......utan 2 mkuu
Mi nipo Udsm, ila ni expert wa energy engineering. Hi kozi ni mpya, imeanza mwaka hu, na iko udom tu. Inahusika na mambo ya oil mining and exploration, ni mpango maalum kwa serikali ktk kozi hi, kutokana na gas na oil ilyogundulwa. Mtapata shavu sana mkimalza
Bro, Iriko tuko pa1 in that prgrm at UDOM, Niliiweka as first choice! baada ya kuona upekee wake na kushauriwa na baadhi ya watu!! am stil researching...i need ur company on that !
kama umemeet vigezo vyote ni rahisi sana mkuu kuhamia as long as kuna nafasiDaah!! wakuu mimi nimechaguliwa Mining Hapo UDOM ila napenda sana Petroleum Engineering as ilikua my second choice so nataka nijue utaratibu wa kuhama program, if niki succeed tutakua pamoja if not still tutakua school moja, all the best guys
kama umemeet vigezo vyote ni rahisi sana mkuu kuhamia as long as kuna nafasi