naomba kujua namna ya kuondoa key

naomba kujua namna ya kuondoa key

Kanjunju

Member
Joined
Oct 8, 2010
Posts
92
Reaction score
6
tafadhal wataalam naomba kuelekezwa namna ya kuondoa key ambayo inatokea kila unapotaka kuandika kitu kwenye computer?
 
sidhani kama swali lako limeeleweka...mimi binafsi sijakuelewa nini unataka haswa..???!!FUNGUKA zaidi....
 
Duh kama hata kujieleza kwa kiswahili ni tatizo hivi sijui kama tutafika.
"A problem well explained is half solved".
 
Duh kama hata kujieleza kwa kiswahili ni tatizo hivi sijui kama tutafika.
"A problem well explained is half solved".

hii post niliituma kwa bahati mbaya haikukamilika.samahani kwa usumbufu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom