mangonifera indica
JF-Expert Member
- Dec 2, 2017
- 845
- 1,462
Sorry ni kusema unajisikia vibaya. Excuse me ni kusema niwie radhi.
Katika kuomba kupita neno sahihi ni excuse me. Kwamba, naomba radhi yako nipite.Ingawa wengine wanasema sorry, kama najisikia vibaya kukutaka unipishe nipite hapo ulipo, najisikiavibaya kukusumbua, kitu ambacho ni sawa, lakini ni Uingereza mwingi sana kuutafsiri kwenye utamaduni wetu.
Muingereza anaweza kukuambia sorry umpishe akiwa na maana ya kwamba "wewe mbona umekaa njiani?".
Siku hizi watu wanaitumia sana sorry hata pasipohusika.
Mtu akifiwa mbona wengine wanamuambia "sorry my condolesence" au mtu akiumwa why wanamuambia "sorry"Sorry-samahani
Excuse-tafadhali
Sorry ni kusema unajisikia vibaya. Excuse me ni kusema niwie radhi.naomba kujua matumizi yake mfano mtu anataka umpishe utasikia sorry naomba kupita mwingine atasema excuse me...usahihi wake upo wapi nisaidieni,we are still learning!
Kwa hapo kwenye sentensi yako limetumika kama pole. Hivyo neno "sorry" linaweza kuwa pole au samahani.Mtu akifiwa mbona wengine wanamuambia "sorry my condolesence" au mtu akiumwa why wanamuambia "sorry"
What is this "sorry"?
Kwa hapo kwenye sentensi yako limetumika kama pole.Hivyo neno "sorry" linaweza kuwa pole au samahani.
Mtu akiangusha kitu chini: usiseme "sorry" wala "excuse me". Sema tu "oops". Ni jinsi ya kiingereza kumaanisha kwamba kosa dogo limejitokeza. Lakini! Wewe ukiangusha kitu kwenye mguu wa mwenzako, lazima umpe "sorry".
Kama ni hivyo embu onesha neno "sorry"litatumikaje kwenye sentensi hizi?Sorry ni pole tu, na excuse ni samahani tu wala si vinginevyo.
Kama ni hivyo embu onesha neno "sorry"litatumikaje kwenye sentensi hizi?
1.I'm so sorry for your loss.
2. I'm sorry,please forgive me.
Naomba unipe tafsiri ya sentensi ya pili ila mimi ya kwangu nitasema "Samahani,naomba unisamehe"Hiyo sentensi ya kwanza tafsiri yake kwa kiswahili ni; "pole kwa (kupata) hasara."
Hiyo sentensi ya pili tafsiri yake ni; "ninasikitika, tafadhali nisamehe."
"Sorry" inatumika kwenye "calamities", inapotumika nje ya calamities ni makosa, mfano ni hapo ulipoitumia ambapo "kuna "pole" na "nasikitika" hizo ni ishara za calamities , wala samahani (excuse) halipaswi kutumika hapo kwenye sentesi zote.
Naomba unipe tafsiri ya sentensi ya pili ila mimi ya kwangu nitasema "Samahani,naomba unisamehe"
Hii kwa mujibu wa kamusi ya TUKI kuwa "sorry" ni "samahani"Mkuu hiyo sentensi ya pili, uliyoiandika, I'm sorry, please forgive me, tafsiri yake kwa kiswahili ni; "Ninasikitika, tafadhali nisamehe"
Tafsiri ya neno kwa neno:-
I'm sorry= ninasikitika.
Please= tafadhali.
Forgive me= nisamehe.
I'm sorry =ninasikitika na siyo samahani, samahani ni "Excuse me".
Excuse inatumika, kwa mfano, pale ambapo unataka kuwatoa watu katika shughuli zao ili ufanye shughuli yako, mfano kama watu wapo katika mkutano na wewe unataka wavunje mkutano wao kwa muda na wakusikilize wewe juu ya jambo lako linalohusu mkutano huo au lisilohusu.
Mfano umewakuta watu wamekaa na wewe unataka wainuke kwanza ili upite hapo walipo, unapo waomba njia ya kupita hapo utaanza na neno "Excuse me, may I -------", Excuse me hapo maana yake ni "Samahani".
Jambo hili watu wengi wanachanganya sana kati ya "sorry" na "Excuse"---Sorry ni kuomba radhi kwa hasara, majonzi nk, yaliyokwisha tokea na Excuse ni kuomba ridhaa ya "kuwasumbua" watu (inconvenience/disturbance ). na hapo neno Excuse ndipo hutumika ambalo kwa kiswahili ni Samahani, neno Sorry halina maana ya samahani bali lina maana kadhaa kulingana na lilivyotumika katika sentensi, mfano, linaweza kuwa na maana hasa hizi mbili "pole na ninasikitika,"
Vile vile kwa mujibu wa google translate neno "sorry" ni "samahani"Hiyo sentensi ya kwanza tafsiri yake kwa kiswahili ni; "pole kwa (kupata) hasara."
Hiyo sentensi ya pili tafsiri yake ni; "ninasikitika, tafadhali nisamehe."
"Sorry" inatumika kwenye "calamities", inapotumika nje ya calamities ni makosa, mfano ni hapo ulipoitumia ambapo "kuna "pole" na "nasikitika" hizo ni ishara za calamities , wala samahani (excuse) halipaswi kutumika hapo kwenye sentesi zote.
If we do not hear or understand what people say, we usually say Sorry?What? (informal)