Naomba Kujua Mishahara ya wafanyakazi wa barabarani

Keyala

Member
Sep 11, 2014
64
29
Wapendwa,
Naomba kujua mishahara kabla ya makato ya APYE and NSSF kwa wafanyakazi hawa:
Bulldozer Operator
Excavator
Load Operator
Carpenter
Fork Lift Operator
Telehandler Operator
 
Unataka kujua mshahara kabla ya makato umeajiriw kwenye izo sehem ulizozitaja mkuu kama bado tafuta ajira kwanza mkuu utafaham tuuuu
 
Back
Top Bottom