Naomba kujua mfumo wa Barua ya udhamini(referee)

Naomba kujua mfumo wa Barua ya udhamini(referee)

Telban8

New Member
Joined
May 29, 2021
Posts
2
Reaction score
1
Habari wana Jamii forums
Samahani kwa anayejua Mfano/muundo wa barua ya udhamini wa kazi(referee) msaada please[emoji41][emoji1666]
 
Habari wana Jamii forums
Samahani kwa anayejua Mfano/muundo wa barua ya udhamini wa kazi(referee) msaada please
emoji41.png
emoji1666.png


Haujaeleweka, unaomba mtu akudhamini kwa hiyo unataka kumwandikia barua?

Au mdhamini ndo aandike barua kwenda huko kwa kazi?

Fafanua.

Hazina tofauti na barua rasmi
 
Una elimu kiwango gani samahani lakini pia napenda kuona Hilo tangazo la kazi limekutakaje Kama unaweza kuliweka hapa liweke upate msaada
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom