Nimesoma maelezo kwenye mtandao husika, wameandika kuwa inatumia electricity. Je, is it reliable kwa mazingira yetu ya hapa bongo? Mtu mzoefu naomba anisaidie
mimi niko mikoani huku, ila matumizi yangu ni ya kwenda ofcn, nyumbani, na sokoni tuu. Je huo umeme inatumiaje? Unachaji betri? NA kama ni ya kuchaji inadumu kwa muda gani? au kwa mileage ipi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.