Kennedy
Platinum Member
- Dec 28, 2011
- 61,784
- 74,815
Bar CodeNamba ya utambulisho na usajiri mkuu
Bar CodeNamba ya utambulisho na usajiri mkuu
Ndiyo maana inaonekana hata unachokiongea hukijua, kila bidhaa ina barcode yake na namba tofauti katu bidhaa moja na nyingine namba hazifanani. mfano we ni mzalishaji unazalisha sembe na kuifunga kwa 5kg, 10kg, 25kg. 5kg itakuwa na barcode yake, 10kg itakuwa na barcode yake na 25kg itakuwa na barcode yake.Na ikitokea kuna mzalishaji mwingine naye anafungasha sembe kwa ujazo huo huo bado sembe yake 5kg itakuwa na barcode yenye namba tofauti ya 5kg unayofungasha wewe.Mrembo wangu,wanaume tunapokuwa tunazungumza mambo mazito unapaswa kuwa chumbani unacheza na mtoto,soma vzr kitabu cha ufunuo (hizo namba ukizijumlisha kwa namna ya kijanja unapata 666)
Sina tatzo na hizo bar-code,tatzo ni namba zinazotumika humo (miaka mitatu iliyopita niliwahi kumuuliza mtaalamu mmoja wa theology na kwa kutumia bar-code nne tofauti yaani zenye namba tofauti kuna namna alikuwa akizijumlisha namba hizo na kupata 666 kwa kila bar-code)Ndiyo maana inaonekana hata unachokiongea hukijua, kila bidhaa ina barcode yake na namba tofauti katu bidhaa moja na nyingine namba hazifanani. mfano we ni mzalishaji unazalisha sembe na kuifunga kwa 5kg, 10kg, 25kg. 5kg itakuwa na barcode yake, 10kg itakuwa na barcode yake na 25kg itakuwa na barcode yake.
Yani uwa inasikitisha pale unapokuta mtu anaongea kitu asichokijua na kupotosha kwa vile anakijua, na kuna sababu ni kwanini waliamua kutumia mistari kureplace namba hizo zilizoandikwa chini. yani hiyo mistari computer inazisoma sawa na hizo namba zilizoandikwa chini hizo namba umewekewa wewe binadamu ila computer inazisoma kwenye mistari na kuna sababu ya kufanya hivyo.
Mkuu,hilo ni somo linalohitaji tuition na nimesahau kidogo formula yakehebu elekeza unajumlishaje upate hiyo namba
Hizo ni consipiracy ukijumlisha namba kwa kufuata mfumo unaotaka wewe utapata jibu unalolitaka na hizo barcode zina aina nne na kila aina ina mpangilio wa namba tofauti. Haya mambo watu wnaya force tu na ukisoma mpaka kufikia kutumia barcode hawakuanza moja kwa moja tumia barcode. Nakwambia hivyo kwakuw ninafanya kazi na wajasiriamali hasa hawa wakati na wadogo kuboresha bidhaa zao so ninajua inakuaje mpaka mtu apate barcode na nazitumia katika kutengneza package ya bidhaa zao.Sina tatzo na hizo bar-code,tatzo ni namba zinazotumika humo (miaka mitatu iliyopita niliwahi kumuuliza mtaalamu mmoja wa theology na kwa kutumia bar-code nne tofauti yaani zenye namba tofauti kuna namna alikuwa akizijumlisha namba hizo na kupata 666 kwa kila bar-code)
Wewe umezungumza kwa logic!Hizo ni consipiracy ukijumlisha namba kwa kufuata mfumo unaotaka wewe utapata jibu unalolitaka na hizo barcode zina aina nne na kila aina ina mpangilio wa namba tofauti. Haya mambo watu wnaya force tu na ukisoma mpaka kufikia kutumia barcode hawakuanza moja kwa moja tumia barcode. Nakwambia hivyo kwakuw ninafanya kazi na wajasiriamali hasa hawa wakati na wadogo kuboresha bidhaa zao so ninajua inakuaje mpaka mtu apate barcode na nazitumia katika kutengneza package ya bidhaa zao.
Hara wewe unaweza generate barcodes zako tu ukitaka ila ukiwa una lengo la kufanya biashara seriously lazima uwe registered ili barcode utakazo generate ziwe unique hata bidhaa ikipelekwa wapi hautokuta kuna bidhaa yenye baracode yako
Maana yangu ni kwamba unaweza kuja na formula ya kubadiri tarakimu zozote kuwa 666, unakumbuka watu walibadiri sept 11 kuwa 666, nimeona videos na articles kibao ya kubadiri namba mbalimbali kuwa 666, lakini ukitaka kujua kuwa ni vitu vya kutengenezwa kila namba ina formula yake tofauti ya kukuletea 666 ikiwa ina maana mtu anakaa anawaza aje na formula gani ya kuhitimisha anayotaka yeye ndiyo maana hakuna universal formula ya kuleta 666Wewe umezungumza kwa logic!
Vzr sana Mkuu,kwenye hii league umeshinda tena kwa knockout lkn kwenye kitabu cha ufunuo kuna mstari unasema hivi "hakuna masikini wala tajiri atakaye nunua bila kuwa na chapa ya mnyama,nayo itakuwa katka hesabu za kibinadamu ambazo ni 666)Maana yangu ni kwamba unaweza kuja na formula ya kubadiri tarakimu zozote kuwa 666, unakumbuka watu walibadiri sept 11 kuwa 666, nimeona videos na articles kibao ya kubadiri namba mbalimbali kuwa 666, lakini ukitaka kujua kuwa ni vitu vya kutengenezwa kila namba ina formula yake tofauti ya kukuletea 666 ikiwa ina maana mtu anakaa anawaza aje na formula gani ya kuhitimisha anayotaka yeye ndiyo maana hakuna universal formula ya kuleta 666
Mrembo wangu,wanaume tunapokuwa tunazungumza mambo mazito unapaswa kuwa chumbani unacheza na mtoto,soma vzr kitabu cha ufunuo (hizo namba ukizijumlisha kwa namna ya kijanja unapata 666)
Yah ninakubariana na wewe hilo lipo lakini tafsiri yake ndo inakinzana mfano, nchi za Scandinavia watu wameanza wekewa chip ndogo sawa na punje ya mchele katikati ya nafasi iliyo na dole gumba na kidole cha shahada, hii ina replace kadi zote kuanzia viatmbulisho vya uraia, passport, atm cards, health cards na kadhalika. Na kama unavyojua nchi nyingi za scandinavia watu hawatumii fiat money wanafanya manunuzi kwa kuswipe kadi sa watu wengine wanadai hii ndo chata ya 666, nchi za ulaya wana mpango wa kufuata nyayo.Vzr sana Mkuu,kwenye hii league umeshinda tena kwa knockout lkn kwenye kitabu cha ufunuo kuna mstari unasema hivi "hakuna masikini wala tajiri atakaye nunua bila kuwa na chapa ya mnyama,nayo itakuwa katka hesabu za kibinadamu ambazo ni 666)
Unasemaje kwenye hilo?