Mimi ni miongoni wa tanzania anaeumia sna nikiona mambo yalivyo kwenye nchi hii hasa jinsi rasilimali mungu alizotupa zinafavyotumika na natamani mabadiliko sana ktk nchi yangu lakini kidogo nashindwa kuelewa kama kuna dalili yoyote ya mabadiliko na nlichoamua kwa sasa ni kukuakisha siku aipiti bila kuiombea nchi yangu ila naomba kama kuna yoyote mwenye uelewa au anaeona mambo kwa jicho lingine plz naomba anijuze kuusu mabadiliko nchini kwetu na nini cha kufanya cha zaidi mungu ibariki tanzania