Naomba kujua kuhusu ufugaji wa farasi

Mr wenu

JF-Expert Member
Apr 4, 2017
1,088
1,666
Habari za muda huu wanajamii.

Naomba ushauri juu ya ufugaji wa farasi.

1. Ni ipi mbegu bora ya farasi?

2. Farasi wanachukua muda gani tangu azaliwe mpaka aweze kupandwa na kuzaa?

3. Kwa hapa kwetu Tanzania wanapatikana wapi farasi?

4. Bei nzuri ya farasi mweupe, mweusi au mwekundu ni kiasi gani?

5. Naomba kujua farasi chakula chake ni kipi?

6. Mabanda ya kufugia farasi yanaandaliwa kwa utaalam gani?

7. Naomba kujua koo za farasi pamoja na mgojwa yao pia namna ya kuwapa tiba

8. Naomba kujua magonjwa ya farasi
 
Broo....i have a feeling ni idea nzuri in terms of business....kwa ushauri just google zaidi and also kama huko ulipo kuna polo clubs,unaweza pata ushauri zaidi.....lkn jitwayarishe na capital ya kutosha
 
Njoo Arusha Kili Estate na Kisongo Estate wapo na kuna Polo
dsc_03161.jpg
img_15131.jpg
dsc_09032.jpg

Hao wote wapo Arusha hapo ni Kili Villa USA River Arusha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom