NAOMBA KUJUA KUFUNGUA AKAUNTI YA JF YA ZAMANI

Jan 6, 2017
1
0
Habari ndugu nimeamua kufungua akaunti mpya jf baada ile ya zamani kukataa kutokana na kutokujua passord yake....

Ila kila nikijaribu kureset na ambiwa nitatumiwa kwenye email lakini nikiingia kwenye email sioni kitu..Naomba kusaidiwa je nitaifunguaje ile ya zamani maana ile nilisubscribe mada nyingi za msingi.....MSAADA TAFADHALI
 
Back
Top Bottom